Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Tuesday, 16 November 2010

jikoni leo ni kaimati !!!!!!!!!!!!.

3 comments:

Mija Shija Sayi said...

Hii kwa chai ya rangi si mchezo. asante sana.

Yasinta Ngonyani said...

Mija si utani yaani hapa udende unanitoka...Ahsante sana.

Anonymous said...

dada sasa inabidi uanze kutuwekea na jinsi ya kupika maana hivi hatujifunzi unatutia tamaa tu! au unaonaje?