Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Sunday, 7 November 2010

Karibuni sana wapendwa!!

Wapendwa karibuni katika uwanja huu na tuungane pamoja katika kujadili,kufahamishana
na kujenga pamoja!.

6 comments:

Mija Shija Sayi said...

Asante sana, Tumekwisha karibia.

Simon Kitururu said...

Tumekaribia !

Rachel Siwa said...

karibuni sana da mija na kaka Kitururu,mjisikie mpo nyumbani.

biggytime said...

Asante Sana tumekaribia

Mzee wa Changamoto said...

Nami naungana wa WAUNGWANA hapo juu kuitikia wito wa KUKARIBIA
ASANTE KWA UKARIMU

Rachel Siwa said...

Ahsante na wewe pia kaka Mubelwa!