Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Tuesday, 7 December 2010

Watoto wanavutiwa na nini kwenyemuziki?

5 comments:

Simon Kitururu said...

Mimi nafikiri watoto kama wakubwa kinachowavutia KATIKA MZIKI ni sawasawa ,...

...ndio maana Wakubwa wengi ukiwauliza kwanini hata nyimbo nyingi wasizoelewa maana yake bado wanazipenda ,...
....KAMA WATOTO TU wanaweza kukosa jibu.

Mija Shija Sayi said...

Ni mirindimo tu dada Rachel...

Yasinta Ngonyani said...

Mapigo,nyimbo ndo hapo wanapojifunza....Mija nimependa neno mirindimo...

Anonymous said...

WATOTO HUVUTIWA NA MNAVOCHEZA DANCING FLOOR.

Rachel Siwa said...

hahhaa kaka Kitururu tukiupenda na maneno tunabadilisha kama, Nyumbani kuna pati ugari na chapati ohohooohh long time sijakula chipsi!!heheheheeee!@da Mija na da yasinta mirindimo na mapigo nayo inazingua!
@mdau kumbe tukicheza nao wanaifunza eehh!
Aksanteni sana wapendwa kwa ufafanuzi wenu!.