Wanawake wa zamani na waleo nani wanamajukumu mazito?.Tulinganishe wa vijijini wa leo na wa zamani,
Pia wa mjini wa leo na wa zamani. Wa mjini wa leo wana wafanyakazi wa ndani,mitandao,Elimu na ujuzi mwingi tu,Pia wa vijijini wa leo wana mashine za kusaga na huduma nyingine. Je wewe mwenzangu unamtazamo gani?