(Lifestyle)Jamii,Tamaduni ,Matukio,Maisha ya Waswahili. Wapendao Kiswahili/Waswahili,Marafiki wa Swahili na Waswahili, Na Mengineyo ya Karibu, Yahitajikayo Kujuzwa Waswahili.Karibuni sana!!!!!!!
Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!
Leo ni mwendo wa Makande wapendwa .Wengine wanayaita Pure sijui wewe unayaitaje!!!! Jee wewe vipi unayapenda ?na unapenda kushushia na nini chai,juisi,maziwa,maji au?karibuni !!!!.
mimi huwa nayaita MAKANDI KWA KINGONI na kibena NGANDE yaani wewe dada wee huna hata huruma umeniona nipo hapo mlangoni nifungulie basi au nso unataka nishibe kwa halafu tu? yaani sikimbuki ni lini nimekula ngoja nijitahidi niyapike nami siku moja. Mie huwa nashushia na maji:-)
Sie WAPARE hiyo ni PURE! Na hapo kwangu huwa napenda kuwa na maparachichi aka MAAVOKADO pembeni! Na haki ya nani nashangaa walao makande kwa sukari na sio chumvi!
Basi hiyo ndio NYWILA (password) aliyoitumia Mama P kuninyaka. Hahahahaaaaaaaaaaaa Mama P anavyojua kuyatengeneza hayooo. Yeye HAPIKI, anatengeneza. Hataki kelele ayapikapo (utadhani anacheza Golf tena PGA). Kishushio ni kama alivyosema Mtaka"tifu" K. I guess kwa kuwa wote ni walewale kina "thithi" Mimi umenikumbusha JUZI tu, maana ndio niliyala hayo Swaaaaaaaaaaaaaaafi
Da Mija - MASANGU hayo yakitiwa karanga na maziwa kidogo kwa mbali we acha tu. Mtu unakuwa na nguvu za kulima shambani hata kwa masaa manane bila kusikia njaa!!!
hahahha jamani Mija kwani unanionaje kwikwikwi nawethaaaaaaa! Mija basi nami nataka kuonja hayo MASANGU YENU MANAYO KUMBUSHANA NA KAKA sasa niandike jina gani ok kaka Matondo lakini maziwa mmhhhh ok nitajaribu!
Wapendwa nimegundua chakula cha Nyumbani kizuri na watu wanapenda sana vyakula vilivyo tulea!!!!
@kaka Kitururu makande ya sukari mazuri jaribu bwana mimi ni mmoja wa wanaokula na sukari!!
@NN Mhango hahhaa pole kaka yangu kwakukushusha mimate nakupa changa moto usiyasahau bwana mwambie Wifi apike ili umkumbuke mama!!
@kaka Mubelwa hahaha mama p hapiki eheee anayatengeneza,mpe 5 Wifi wa mimi mama p!! @ kaka Matondo na da Mija natakanijaribu na maziwa hayo Masangu!!!!!!!
@da Edna usilie wangu pika bwana wewe mwanamke wa kukaye!! @da Mumyheru utakuwa umewatendea wema kweli kwenye Africa Festival!!! @emu-three umeguna mwisho umesema, kibulu si mchezo! @Anonymous mimi huwa napika sana kwangu haikuwa sherehe wewe karibu sana tuu!!
jamani nimefurahi mno kwa tafsiri ya Makande ukijua hivi na wengine wanajua hivi! MAONI HAYAJAFUNGWA NILIKUWA NAUNGA MKONO WOTE NA NAWAPENDA!!TUENDELEE KULA MAKANDE/MAKINDI/KIBULU/MASANGU/KITHERI N.K!!!!!!!
@Rachel:Makande ya sukari nimejaribu hasa kwa kuwa DADA yangu nayemfuata kuzaliwa ndio apendavyo. Ila mie ya chumvi ndio nimeyazoea na naamini BIBI yangu mzaa Baba ni miongoni mwa wataalamu wakuyapika/kuyatengeneza aliye kiboko kuliko wapishi wote wa hiyo kitu.:-)
umeona da Lisa ehh utamu wake weee! @kaka Kitururu dada anajua utamu wake huyo! @mama Malaika!!!!!!!mataniusinipeleke mahakamani jamani mtani!nimefurahi kukuona ok tutakutana foto baraza! wewe na da Yasinta ni ndugu?maana upendo wenu na tabia zenu zinafanana sana!!.
Rachel Watu mnaweza kuwa na upendo pia tabia sawa lakini si ndugu huwa inatokea tu...Au labda ni ndugu ngoja tusubiri Mama Malaika atasema nini. Ila wewe mchokozi kweli na hayo makande na Mija ndo kabisa eti atamezea haya makande na chai ya sukari:-(...lol
jamani pure hizo mwe zina nikumbusha mbali mimi nimetoroka shule niende nyumbani nikale chakula kizuri weekend unafika nyumbani wana hamu ya pure wamejipikia pure zao unapiga hodi kina pakuliwa duuuuuuuuuuuuuuuuu pure umekimbia harage shule nyumbani pure linapendeza machoni ila du ndio umetoka shule na nyumbani pure tena mbona chozi lilinidondoka umenikumbusha mbali sana da Rachel ila jamani pure ndio zenyewe.
23 comments:
mimi huwa nayaita MAKANDI KWA KINGONI na kibena NGANDE yaani wewe dada wee huna hata huruma umeniona nipo hapo mlangoni nifungulie basi au nso unataka nishibe kwa halafu tu? yaani sikimbuki ni lini nimekula ngoja nijitahidi niyapike nami siku moja. Mie huwa nashushia na maji:-)
hahahahhha jamani da Yasinta nimukufungulia mlango dada yangu naona umesha kimbia au huu upepo wa leo umeshindwa kuvumilia?
wapikie watoto na shemeji natumaini watayapenda,huko kwako mahindi na maharage hakuna?jamani unakosa uhondo dada yangu!!!!!!!!
Sie WAPARE hiyo ni PURE! Na hapo kwangu huwa napenda kuwa na maparachichi aka MAAVOKADO pembeni! Na haki ya nani nashangaa walao makande kwa sukari na sio chumvi!
Mmmenikumbusha Afrika hata kama mimi si mpare nile Pure kama asemavyo mtakatifu Kitururu. Good job ya kutushusha mimate bure.
Basi hiyo ndio NYWILA (password) aliyoitumia Mama P kuninyaka.
Hahahahaaaaaaaaaaaa
Mama P anavyojua kuyatengeneza hayooo. Yeye HAPIKI, anatengeneza. Hataki kelele ayapikapo (utadhani anacheza Golf tena PGA).
Kishushio ni kama alivyosema Mtaka"tifu" K. I guess kwa kuwa wote ni walewale kina "thithi"
Mimi umenikumbusha JUZI tu, maana ndio niliyala hayo
Swaaaaaaaaaaaaaaafi
shughuli ya makande ilikuwa lini? Yamekolea nazi hayo! Mimi naona yanapendeza sana ukinywa na chai. Wengine wanayaita kidheri
Kikwetu tunayaita MASANGU...upo hapo?
Hata hapa huwa nayapika mara moja moja.
duh umnikumbusha mbali sana na wala sikumbuki ni lini mara ya mwisho kula ila nitahitahidi kuyaweka kwenye menu ya African Festival mwaka huu
Masangu hayoo!! Mimi hushushia na CHAI YENYE SUKARI(hapa namchokoza Yasinta). Usukumani twayapika kwa Karanga..
Mzee wa Changamoto umenifurahisha kweli.(Mama P, hapiki, anayetengeneza..
Aaah jamani umenikumbusha mbali sana..Hayo yananoga kwa chai bwana weeee.
Da Mija - MASANGU hayo yakitiwa karanga na maziwa kidogo kwa mbali we acha tu. Mtu unakuwa na nguvu za kulima shambani hata kwa masaa manane bila kusikia njaa!!!
Heri mimi sijasema...mmh! Mmmmh, yapo hayo na yale unayoweza kuchangaya na amziwa mgando...Mt yanaitwaje yale..KIBULU!
Prof. Matondo, nimekupata yaani wee acha tu. Hivi Rachel unajua/weza kulima?
hahahha jamani Mija kwani unanionaje kwikwikwi nawethaaaaaaa!
Mija basi nami nataka kuonja hayo MASANGU YENU MANAYO KUMBUSHANA NA KAKA sasa niandike jina gani ok kaka Matondo lakini maziwa mmhhhh ok nitajaribu!
jamani nawethaaa kulimaaaa miye yakhee!
Wapendwa nimegundua chakula cha Nyumbani kizuri na watu wanapenda sana vyakula vilivyo tulea!!!!
@kaka Kitururu makande ya sukari mazuri jaribu bwana mimi ni mmoja wa wanaokula na sukari!!
@NN Mhango hahhaa pole kaka yangu kwakukushusha mimate nakupa changa moto usiyasahau bwana mwambie Wifi apike ili umkumbuke mama!!
@kaka Mubelwa hahaha mama p hapiki eheee anayatengeneza,mpe 5 Wifi wa mimi mama p!!
@ kaka Matondo na da Mija natakanijaribu na maziwa hayo Masangu!!!!!!!
@da Edna usilie wangu pika bwana wewe mwanamke wa kukaye!!
@da Mumyheru utakuwa umewatendea wema kweli kwenye Africa Festival!!!
@emu-three umeguna mwisho umesema, kibulu si mchezo!
@Anonymous mimi huwa napika sana kwangu haikuwa sherehe wewe karibu sana tuu!!
jamani nimefurahi mno kwa tafsiri ya Makande ukijua hivi na wengine wanajua hivi!
MAONI HAYAJAFUNGWA NILIKUWA NAUNGA MKONO WOTE NA NAWAPENDA!!TUENDELEE KULA MAKANDE/MAKINDI/KIBULU/MASANGU/KITHERI N.K!!!!!!!
Napenda sana pure na sukari yummy
@M3: Kibulu mara nyingi hutengenezwa kwa maindi mabichi! Namaanisha mahindi ambayo hayajakauka bado!
@Rachel:Makande ya sukari nimejaribu hasa kwa kuwa DADA yangu nayemfuata kuzaliwa ndio apendavyo. Ila mie ya chumvi ndio nimeyazoea na naamini BIBI yangu mzaa Baba ni miongoni mwa wataalamu wakuyapika/kuyatengeneza aliye kiboko kuliko wapishi wote wa hiyo kitu.:-)
Jamani makande haya mie yanitoa roho! Wewe mtani wangu naona wataka kesi kutuwekea hii picha. Mie nakusubiria Fotobaraza. LOL...
Mama Malaika
umeona da Lisa ehh utamu wake weee!
@kaka Kitururu dada anajua utamu wake huyo!
@mama Malaika!!!!!!!mataniusinipeleke mahakamani jamani mtani!nimefurahi kukuona ok tutakutana foto baraza!
wewe na da Yasinta ni ndugu?maana upendo wenu na tabia zenu zinafanana sana!!.
Rachel Watu mnaweza kuwa na upendo pia tabia sawa lakini si ndugu huwa inatokea tu...Au labda ni ndugu ngoja tusubiri Mama Malaika atasema nini. Ila wewe mchokozi kweli na hayo makande na Mija ndo kabisa eti atamezea haya makande na chai ya sukari:-(...lol
jamani pure hizo mwe zina nikumbusha mbali mimi nimetoroka shule niende nyumbani nikale chakula kizuri weekend unafika nyumbani wana hamu ya pure wamejipikia pure zao unapiga hodi kina pakuliwa duuuuuuuuuuuuuuuuu pure umekimbia harage shule nyumbani pure linapendeza machoni ila du ndio umetoka shule na nyumbani pure tena mbona chozi lilinidondoka umenikumbusha mbali sana da Rachel ila jamani pure ndio zenyewe.
@Anonymous utoro wote ulikuisha maana adhabu ya kula hichohicho ilikutosha sana!!hahaha pure juu mpendwa!
karibu sana wangu!.
Post a Comment