DADA ASIFIWE NGONYANI HATUNAE TENA!!.
Mpendwa /Bloga wetu da Yasinta na Familiya ya Ngonyani,Wanasikitika kutangaza kifo cha Binti/dada yao mpendwa ASIFIWE NGONYANI.Kilichotokea tarehe 23/03/2011.Nyumbani Tanzania,kwa maelezo zaidi ingia www.Ruhuwiko.blogspot.com. kwa niaba yangu na familiya yangu na wapenzi/wafuatiliaji wote wa SwahilinaWaswahili, Tunaungana pamoja na Familiya ya Ngonyani katika wakati huu mgumu na kutoa pole zetu kwenu!!!SISI TULIMPENDA LAKINI MUNGU AMEMPENDA ZAIDI!!!.
4 comments:
Pole sana Dada Yasinta na wanafamilia wote, yote ni mapenzi ya muumba .Yeye katangulia sisi tupo nyuma, kwani hapa duniani ni mapitio
R.I.P Asifiwe.
mmm ahsante !
Mija nawe ahsante!
Rachel ahsante kwa ushirikiano wako. Ubarikiwe
Pamoja dada Yasinta!
Post a Comment