(Lifestyle)Jamii,Tamaduni ,Matukio,Maisha ya Waswahili. Wapendao Kiswahili/Waswahili,Marafiki wa Swahili na Waswahili, Na Mengineyo ya Karibu, Yahitajikayo Kujuzwa Waswahili.Karibuni sana!!!!!!!
Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!
Wapenzi wa Muziki umekolea. Wanaamua kutunza chochote!Ghafla unatunzwa Bastola je kama wewe utapokea au utakimbia?.Kivumbi na Jasho!!!!!!!!Karibuni Wote.
3 comments:
Kama ni mimi nitaipokea, maana ukimuachia, yaelekea ze kick ipo kichwani anaweza kujifurahisha kwa kukutungua!!
Daaaaah, mimi na muziki ungeishia hapo hapo, si mbio hizo mwanangu..
@kaka Chib ze kick na ze bangi ikichanganya hapo hapatoshi!
@da Mija kwikwikwi unaweza kula mweleka wangu!
Duh mimi naona nitadondoka tuu maana nitaishiwa nguvu!!!
Nawewe je?
Post a Comment