Wazazi/Walezi na Watoto wanaosoma Henley Green Primary School,Coventry,UK.Jana walijumuika pamoja na Walimu wao kwa Kusheherekea Royal Wedding.Wengi wao kama si wote waliokwenye picha hizi wanazungumza Kiswahili,Ni Waswahili wa Tanzani,Kenya,Burundi,Rwanda na Congo. kama uonavyo Kanga ,Vikoi,Mikeka vilitandikwa chini Waswahili wakajiachi.
Swahili na Waswahili inawatakia mapumziko mema na Ndoa njema kwa maharusi.
6 comments:
Duh!!!
Hampitwi? Hahahahaaaaaaaaaaaaa.
Ila nimeuliza....KWANINI IMESHEREHEKEWA namna hii?
hahahhhha kaka Mubelwa hapitwi mtu hapa!!Duh kwanini?Nafikili ni kwakuwathamini watu wao muhimu na upendo kwa Nchi yao.Nasi Waswahili lazima tuwaunge mkono wenyeji wetu yakheeeeeeee!.
kaka wa mimi Kitururu mbona umeguna?
@Dada wa mimi Rachel:
Ulikuwa Mguno tu !
Ila labda umesaidia kukujulisha nimepita varandani kwako kupata shule kama kawaida!
Hiyo naona ilikuwa bab-kubwa!
Nimekupata kaka wa mimi@Kitururu!.
Post a Comment