Wapendwa hivi kwanini Bucha nyingi TZ/Bongo, zipo katika mazingira machafu?UTUMBO ndiyo kabisa Sehemu nyingi zinazouzwa Utumbo ni chafu sana.Kama kwenye maduka kuchafu, Je Machinjioni kutakuwaje?
Na nimesikia[sina uhakika] kwenye kununua uwe makini,Kwani wanaongeza kitu au kufanyia maalifa kwenye Mzani ili kuongezea uzito na kuibia wateja.Kama ulinunu kilo mmoja basi utapata pungufu.
Jewewe Unamawazo gani katika hili, Tuache kula Utumbo,waelimishwe,Wafungiwe au wenyewe tumeshazoea na Vichafu kwani tutapika na kuua Vijidudu?
Utumbo wenyewe twalia Ndizi!!!!!

3 comments:
Kuna mambo mengine kama haya ya USAFI- nafikiri Mungu anasaidia tu ndio maana hatuugui!:-(
Mmmh yaani ukienda kwenye hayo mabucha unakaribishwa na maainzi.Sijui ni kwa nini huwa wanashindwa kusafisha wakati kachumba kanyewe huwa ni kadogo tu.
Hi thеre, I rеad your blοgs ԁaіly.
Your story-telling style is аwesome, κeep doing what уou're doing!
my page: one month loan
Post a Comment