Mh; Mama Mwanaidi Maajar; Aliongea hayo kwenye Semina ya Kina mama wa THE WAY OF THE CROSS GOSPEL MINISTRIES CHURCH.
Mpendwa baada ya kumsikiliza mama Maajar, Je umejifunza nini?.Sikiliza kwa makini sehemu ya 1 na ya 2.
Karibuni sana kwa mawazo/maoni na kuelimishana zaidi katika kipengele hiki cha, Waswahili na Maisha yao ,Kupitia hapa Swahili naWaswahili.
Habari kwa msaada wa DjLuke wa Vijimambo.
3 comments:
poa sana mama.kaka s
Nimempata kwa shida sana siunajua tena computa za kiofisini wanablock...wanablock, hata visivyoblokiwa...Tupo pamoja ndugu yangu
Poa kakaS pia nimefurahi nimekuona kwa da'Yasinta!!!!
@Ndugu wa mimi emu-3 pole sana nafikiri sasa iko sawa, asante kwa kuhaingaika nayo, Pamoja sana!.
Post a Comment