Haya Mpedwa wewe umejiandaaje na Miaka 50 ya Uhuru?
Sikiliza hayo maneno ya Waswahili, Chura anapenda Maji lakini si ya Moto.
Watoto wa Kiswahili wanatimbwilika/kucheza.Tanzania Kiroho Safi!!!!!!
Je wewe una Amani, Uko Huru? Kila la Kheri.
Sikiliza hayo maneno ya Waswahili, Chura anapenda Maji lakini si ya Moto.
Watoto wa Kiswahili wanatimbwilika/kucheza.Tanzania Kiroho Safi!!!!!!
Je wewe una Amani, Uko Huru? Kila la Kheri.
5 comments:
Hahaha kweli bongo noma..huyo si aliimba ile DOGO MFAUME...Da rachel Siwa..
Anonymous Ndio huyo huyo Dogo Mfaume..Hahahaha..
Si mchezo...mapigo na uimbaji wao umenikumbusha ngoma moja inaitwa madogoli--Sijui kama kweli tunasonga mbele au tunarudi nyuma au tupo pale ple?...
Bongo yetu ukichunguza utakuta mpaka Rais mwenyewe hayuko huru!:-(
Anonymous wa kwanza naona jibu la Anonymous wa pili linaweza kusaidia, maana mimi sina uhakika wangu, mbona hamajaniambia je ninyi mko huru na mmejiandaaje na uhuru?
@da' Yasinta hata mimi nasikilizia jibu, kama tunakata mbuga au laa maana uhuru wake bwana unamashaka,nionavyo mimi.
@kaka Kitururu hahahahahahaa je wewe uko huru au sababu uko nje upo huru je ukirudi Bongo uhuru wa kweli au......
Ahsante mliochangia na tunaendelea na mawazo ya uhuru!!!!!!
Post a Comment