Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Tuesday, 11 October 2011

Da'Tamara-Sibusisiwe Atimiza mwaka 1!!!!!!!!!

                    Da'Tamara kama anaota vile!!!!!!
  Duhhhh sasa nimetimiza mwaka, Hawa wazazi sijui watanipeleka Boarding..?
                            Mwenyewe mama Tamara!!
Baba Tamara [kaka Manyanya] naona  kajibebea Tamara wake.


Hongera da'Tamara kwa siku yako hii Muhimu, Mungu akubariki katika yote.
Baba na Mama Tamara; Hongereni  sana na Mungu awe nanyi daima katika malezi ya da'Tamara
na Maisha yenu.


Zaidi kuhusu Tamara na Wazazi wake na menginemengiiiii!!! Ingia http://ninaewapenda.blogspot.co

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Hongera Shangazi Tamara Manyanya..tarehe 11/11 2011 umetimiza kamwaka. Mwenyezi Mungu na akulinde siku zote na pia awape nguvu wazazi wako.HONGERA KAKA MKUBWA NA WIFI PIA.

Yasinta Ngonyani said...

SAMAHANI SANA NILIKUWA NAAMAANISHA 11/10 ..UZEE KAZI KWELIKWELI:-(

Mija Shija Sayi said...

Hongera sana Da Tamara, umekua sasa mwaka si mchezo.

Hongereni wazazi mtoto kashakua huyo..