Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Friday, 7 October 2011

Nawatakia Ijumaa Njema, Pata kitu cha Wahehe leo!!!!!!

9 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Haya Rachel nakukubali nimeipenda hiyo ngoma si unajua zangu naona leo umeniwahi..LOL..nimesikia neno moja tu JUMUIYA....ila nimeselebuka we acha tu..Ijumaa njema nawe pia na wanafamilia wote:-)

sam mbogom said...

Dah! nimekuwa nalitafuta sana jina lako ,kumbe unaitwa Rachel safi. umenikuna sana kwa ngoma ya wa hehe ya kudua..,kweli ijumaa ni njema.haya nawewe dada yangu ijuma njema,asante kwa ngoma. kaka S.

Rachel Siwa said...

Hahahahah dada yangu Yasinta nakujua sana wewe, sasa hapo ushushie na kaulanzi beehh, Asante sana.

@ kaka Sam jamani kweli ulikuwa hulijui? asante kwaniwazia kaka yangu,Sipati picha hapo uliduaje maaana nahisi jasho lakutoka @,Asante sana kaka s.

sam mbogo said...

Da,Rachel,ni kweli nilikuwa naona uvivu kila wakati kundika swahili na waswahili. nivizuri kujuwana dada zangu,kazi zako nipoa sana,sijuwi sikumoja kapicha kako hako ka kulia katakuwa namwanga zaidi ili tuwe tuna kuona live. asante sana kwa ngoma ya wahehe. kaka S.

Yasinta Ngonyani said...

ha ha haaaa da`rachel kaulanzi wenzio hata kumezeka hakatamezeka be´.

Simon Kitururu said...

Ngoma poa Sana!

Hivi ni WAHEHE au WAKINGA ndio niangusage tu KAKA ukiniona nimelewa dhambi ni zako mwenyewe?:-(

EDNA said...

Hahahaaa Wanyalu oyeeeeeeeeee,Wee Simon kama si mtani wetu tutake radhi.Vinginevyo mimi nitajinyonga.Da Rachel umenifurahisha sana leo.

Simon Kitururu said...

@Edna! Samahani jamani mweee!:-)

@Wote: Jumamosi njema!

Rachel Siwa said...

Nikweli kaka Sam, Ahsante sana kaka s, Mungu nimwema tutakuja onana uso kwa uso.

hhahhahah @da'Yasinta hata mtogwa bee,

Hahahahhahaa @kaka wa mimi Kitururu wewe nami nitajinyonga na da'Edna,ohhhh afadhali umeomba radhi,

@Da'Edna[segito]Wanyali juuuuu!! Winomeeeeeee...