Mzee wetu mpendwa Umetutoka tukiwa bado tunakuhitaji.
Leo sina mengi ya kusema;
Mungu akulaze mahali pema peponi Amina.
Poleni ndugu zangu wote mliopo nyumbani Tanzania na Wote tuliopo nje ya Tanzania,
Tuungane pamoja kwa wakati huu Mgumu kwetu Mgumu.
wako Rachel-Siwa[Mwanapenza].
1 comment:
Poleni sana jamani!Mungu amlaze mahali pema peponi!
Post a Comment