Haya wapendwa leo ni kitu Halwaa kwa Kahawa,kuna inayochanganywa na Ufuta,pia kuna ya Karanga, hizi ndizo nilizowahi kula, kama kuna nyingine wewe unajua Tufahamishane!Vipi lakini Kitu Halwaa na Kahawa Vinapanda/Unapenda? au Hujafanikiwa kuonja?
Karibuni sana Waungwana!!!
4 comments:
Mmmmhh mimi sijawahi kabisa kusikia hilo jina la Halwaa na kahawa ndo situmii kabisaaaaa!!Labda nipate maelezo kidogo.
Tehtehtehteh dada wa mimi Yasintaaaa, mambo ya pwani hayo,Inatengenezwa/kuliwa zaidi na watu wa Pwani.
Nisijifanya nimeelewa inatengenezwa kutumia nini? au labda ina jina jingine?...kapulya
Ndugu yangu tamua hiyooh.Tupo pamoja
Post a Comment