(Lifestyle)Jamii,Tamaduni ,Matukio,Maisha ya Waswahili. Wapendao Kiswahili/Waswahili,Marafiki wa Swahili na Waswahili, Na Mengineyo ya Karibu, Yahitajikayo Kujuzwa Waswahili.Karibuni sana!!!!!!!
Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!
HAPO NDIPO UNAONA UMRI WAKE LULU BADO MDOGO. LAKINI ANAZO AKILI NYINGI SANA YULE MTOTO. ABARIKIWE KATIKA MASOMO YAKE, NA ASIACHE SHULE PAMOJA NA U-STAA WAE HUO.
Unajuwa maisha ni upweke mgumu kama hamna watu wenye kuwaiga. Na hao silebriti kama huyo mtoto, kwetu ni kama vioo vyetu vya kujisafishia utongo kila tunapoamka asubuhi.
Naipongeza Tanzania kwa kuwa na huyo silebriti (mtu mwenye kujiulikan sana) wa umri mdogo pamoja na akili nyingi.
Ila taifa halinabudi kumchunga lenyewe mtoto huyo huenda akawa baraka zaidi kwenu na kwa Afrika nzima.
4 comments:
Mwandishi wa Habari:
"Naongea na nani?"
Lulu:
"Si unaongea nami hapa?"
HAPO NDIPO UNAONA UMRI WAKE LULU BADO MDOGO. LAKINI ANAZO AKILI NYINGI SANA YULE MTOTO. ABARIKIWE KATIKA MASOMO YAKE, NA ASIACHE SHULE PAMOJA NA U-STAA WAE HUO.
Hashawishiki huyo!
hahahahhaha kaka Manyanya sasa agalia hapo chini alipokuwa na miaka 18.kazi kwelikweli, hahahah naongea nanani? LULU SI UNANIONA?TEHTEHTEH
Watu kupenda kujua maisha ya wengine sijui kwa nini?????
@Yasinta
Kwa sababu wengine ni mifano ya kuigwa na sisi.

Post a Comment