(Lifestyle)Jamii,Tamaduni ,Matukio,Maisha ya Waswahili. Wapendao Kiswahili/Waswahili,Marafiki wa Swahili na Waswahili, Na Mengineyo ya Karibu, Yahitajikayo Kujuzwa Waswahili.Karibuni sana!!!!!!!
Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!
8 comments:
Raha ya mziki hata kama huelewi wanasema nini lakini utamu wake ni mzuri sana ingo ingo....
Umeona eeh dada Yasinta, kama unapenda mziki wewe unacheza tuu!
wacha weee,ngoja na mimi niaze kudua.Da Yasinta na Da Rachael mniimbie..sapula mduru na mapiripiri.
hahahahhaah dadake Ednaaa, kaulanzi kidogo alafu kanyaga chini kanyaga,kanyaga chini kanyagaaaaaaaa!!!!
Tupo pamoja ndugu wa mimi
Nami nipo!
Poa Sana!
Pamoja waungwanaaaa!!' kaka Chib umepoea sana,unatunyima nini huko?
Post a Comment