Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Saturday, 7 January 2012

Chaguo la Mswahili-Les Wanyika - Ubaya Hauna Cheo,Zilipendwa!!!!!!!!!!

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Ni chaguo nzuri dadangu...Ni vuzuri kukumbuka ya kale..pia baada ya kusikiliza nimekumbuka nimesoma mahali kuwa tenda wema na utalipwa hapa hapa duniani..

Rachel Siwa said...

Umeona eehh dadayangu.....Ahsante sana.