Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Saturday, 28 January 2012

Nawatakia J'pili Njema,pata burudani,Malindi Choir- Zungukazunguka Na kitu hiki cha LULU,Mpendwa Unakumbuka nini Usikiapo Nyimbo Hizi?Mungu awe nanyi Daima.

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Yesu nipeleke kule kwa baba nikaishi naye kule mbinguni kwenye mji wa lulu mlongo wa dhahabu ooohh lulu..Safi sana Jumapili njema nawe pia familia yako yoye na waote wtakaiopita hapa Mungu awabariki.

sam mbogo said...

Da,Rachel bisikuti yangu, kutoka kumoyo leo jumapili yangu safi kabisa.huo wimbo wa kwanza Lulu naupenda sana nikati ya nyimbo ambazo zinaweza kunirudishia furaha yangu endapo itapotea. huo mwingine pia nimeupenda watu wakifurahi inabidi wazunguke. asante kwa chakula cha roho(muziki) kaka s

Rachel Siwa said...

Ahsante sana Wapendwa wangu,da'Yasinta naona unakumbukia mbali sana.

@Kaka Sam barafy yangu,Nimefurahi sana sana kusikia Moyo wako ulikuwa buruuuudani, kamwe Furaha yakohaitapote Mungu yu pamoja nawe,tena utazungukazunguka,karibuni sana waungwana.