Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Tuesday, 24 January 2012

Siku kama ya leo da'Nancy Alizaliwa!!!!!!

Siku kama ya Leo miaka kadhaa iliyopita,Da'Nancy Bibi ya Nyotu Alizaliwa!!!
Tunakutakia kila la kheri na baraka katika maisha yako,Mungu azidi kukubariki sana,
Upendo,Utu wema,Fadhili,Busara,Ucheshi na Mengine mengi Mungu amekujalia dada Nancy.
Wewe ni Rafiki wa nyakati zote kwa shida na Raha,Kupitia wewe nimejifunza meeengi sana sana.
Uwe na wakati mwema kila iitwapo Leo.
Familia ya Isaac Tunakupendaaa na kukuthani sanasana sana.
Mungu awe nasi Daima.




6 comments:

Anonymous said...

HAPPY BIRTHDAY DA NANCY

EDNA said...

Happy birthday mdada.

Yasinta Ngonyani said...

HONGERA KWA SIKU YA KUZALIWA DA`NANCY!

emuthree said...

HAPPY BIRTHDAY TO YOU (NANCY )!

Simon Kitururu said...

Nimechelewa kidogo lakini: HAPPY BIRTHDAY NANCY!

Rachel Siwa said...

Ahsante sana kwa dua/sala zenu, kwa niaba ya Nyotu Family.