Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Thursday, 5 January 2012

Waswahili na Maisha yao-Coventry Swahili Party/Mwaka Mpya[shukrani]!!!



                             Asanteni sana  Swahili dadazzzz.
                                   dada Esther Asante.
                                      Wapendwa Mungu awabariki sana.
                                       Mbarikiwe Malongazzzzz.
                                    Ahsante sana mamaKisa.
                                       Ahsante sana Dj Rik/blogger wa the network.





                   Chakula; Nyama choma na vyote,Vimepikwa kwa  da'Batuli.
Ahsanteni sana wote kwa Upendo na kutoa Muda wenu kwa kujumuika nasi ,  Mungu awabariki sana,Tunawatakia kila lililo jema.Kwaniaba ya da'Maggie ,da'Vick na Familia yangu,TUNAWAPENDA SANA.


3 comments:

Mzee wa Changamoto said...

Yaani binadamu na ujanja wake woote hajagundua namna ya kutuma haya madikodiko "wirelessly" kweli?
Gggggrrrrr!!!!
Kwanini nione nipate hamu, lakini nisitafune na kushiba?
Hii lazima mtu aifanyie kazi (hata kwa kuoteshwa kama Babu wa Samunge)
Hahahahaa

Maggie said...

Asante dadake mama ya blog kwa kupeperusa shukrani zetu za dhati naongezea cha juu asanteni sana Mutu ya UPENDO ya Coventry na bila kuwa sahau mutu ya Birmingham nulifurahiaje kuwa pamoja,mbarikiwe sana

mama shro said...

ahsanteni ndugu zetu kwa upendo mloonyesha,shost umesahau bila kuwasahau watu wa slough..MUNGU tuzidishie huu upendo tulionao uendelee..