Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Thursday, 19 January 2012

Zanzibar na Mambo yake!!!!

4 comments:

Yasinta Ngonyani said...

hakuna watu wasio na aibu kwa kucheza mziki kama waswahili...sijui tumeumbwa kimziki mziki?

Simon Kitururu said...

Kisikitishacho ni madai kuna dansi hata ukiwauliza Wazanzibar wanadai wamwisho kujua dansi hiyo kasha enda kwa MOLA!:-(

EDNA said...

Heee hiyo dansi nimeipenda.

Rachel Siwa said...

Hahahha da'Yasinta Waswahili na Ngoma inapolia bwana ni habari nyingine sana!!!!!@Kaka wa Mimi kumbe nawe Unawza kwa sauti!!!!
@Mwanakwetu da'Edna tehteh kama umestuka hivi, huamini nini kama Zanzibar kuna mambo hayo,Ulifikiri Taaarab tuu?

Mubarikiwe sana!!!