(Lifestyle)Jamii,Tamaduni ,Matukio,Maisha ya Waswahili. Wapendao Kiswahili/Waswahili,Marafiki wa Swahili na Waswahili, Na Mengineyo ya Karibu, Yahitajikayo Kujuzwa Waswahili.Karibuni sana!!!!!!!
Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!
Leo nimekurudisheni nyuma kidoogo,Vipi kuhusu vibao hivi leo,kuna lolote unalokumbuka?Twende Sote na Burudani !!!!!Nawatakia week end Njema.
1 comment:
Anonymous
said...
uwiii umekumbusha mbali sana jamani ubarikiwe kwenye maisha kungekuwa kuna kuweka gia yakurudi nyuma kama kwenye gari yani leo lazima ningeitumia hiyo gia
1 comment:
uwiii umekumbusha mbali sana jamani ubarikiwe
kwenye maisha kungekuwa kuna kuweka gia yakurudi nyuma kama kwenye gari yani leo lazima ningeitumia hiyo gia
Post a Comment