Da'Rudo Mawere Enzi ya Uhai wake.
Dada huyu ameuwawa na aliyekuwa Rafiki yake wa Kiume/Mpenzi wake, Jason Dube,Naye mwanaume huyo baada ya kufanya mauaji hayo huko Ireland,akarudi U.K. naye amekutwa amejiua.Kaka Jason alikuwa akiishi hapa Coventry,Poleni sana Familia ya Dube na Mawere.Habari kamili unaweza kuipata hapa;http://www.nyasatimes.com/malawi/2012/01 au htt://www.independent,pia ukiingia face book andika Rudo Mawere pia unaweza kupata maelezo vizuri.Habari hii imetuhuzunisha sana kwani huyu mwanaume tulikuwa tunamfahamu. |
|
|
| | | |
|
|
|
5 comments:
Jamani poleni sana wanandugu pia marafiki.
Jamani hivi lini wanadamu tutaishi kwa binadamu, ni lini amani na upendo vitatawala heshima ya mwanadamu,.....kuna wimbo mmoja una maneno haya, mlimani au juwata...
'Naamini mwanadamu kazaliwa na mwisho wake upo hapa duniani...
Poleni sana wafiwa..
Pole sana kwa ndugu,jamaa na marafiki wa pande zote mbili.
Msiba una pande mbili:
1.Kuomboleza
2.Kujifunza.
-----------------------------
Wakati tupoomboleza misiba hiyo miwili kwa wakati mmoja tunapa funzo gani sisi wadau wa kibaraza hiki?Tafakari na uchukue hatua.
Jamani!! kweli kaka Rau ni tunapata funzo haswa,yaani huwezi amini kwa kumuangalia kwa macho JASON kama anaweza kufanya alivyofanya,yaani yamefumuka meengi sana,Ogopa sana watu wakimya.Tujifunze na kumshirikisha sana Mungu kwani si kila mtu ana Mapenzi ya Kweli.
Post a Comment