Kuna wanaopenda Viporo,Vitu vya kuchemsha,Vyakukaanga,Kuungwa,Uji,Supu na vingine Vingii.
Jee upo kwenye lipi? na jee hapo ulipo unavipata kwa Urahisi kama kununua vilivyopikwa au unapika mwenyewe?na jee Kifungua kinywa chako kina Faida kiafya?.
Karibuni sana Waungwana katika Yote!!!!
3 comments:
mweh! kutamanishana kila wakati..umenikumbusha VITUMBUA nilivukula kweli mwaka jana:-) mimi huwa napenda vya kuchemsha na pia uji wa ulezi au mtama nk.
da'Yasinta hujui kuvipika kama mimi?pole sana.
Ha ha ha ha ww nawe bwana ...haya pole na wewe lakini sidhani ni kazi ni unga wa chele na sukari tu au?
Post a Comment