katika Poziii |
Alikuwa MC |
Mifugo ni adimu kwao,weee paka njoo hapa!!! |
Kwanini jana ulikimbia?utahama humu oohh,haya niamkie.. |
Waswahili wanasema vyakurithi Vinazidi jee ni kweli?
Jee Watoto wanaweza kurithi Vituko,Ucheshi,Upole na Ugomvi?
Na kwanini baadhi ya misemo ya watoto inafanana kama Maji,kuwa Mma,Nyonyo na.....?
Kunawakati unaweza cheka na Mtoto mdogo au Kulia kwa mambo yake!!!!
Wengine hawapendi kula,kulala Usiku na mambo mengi.Pia kuwa na Mtoto kuna Raha yake!!
Kama wewe huna Mtoto na Unahitaji,Mungu yu Mwema Uskate Tamaa!!!!
1 comment:
Tunawaza sawa. Nami najiuliza mara nyingi kuhusu huo urithi kwa watoto. Ninafikiri urithi ni kila kitu, na mazingira ni ujazo tu wake.
Post a Comment