(Lifestyle)Jamii,Tamaduni ,Matukio,Maisha ya Waswahili. Wapendao Kiswahili/Waswahili,Marafiki wa Swahili na Waswahili, Na Mengineyo ya Karibu, Yahitajikayo Kujuzwa Waswahili.Karibuni sana!!!!!!!
Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!
Hali ya Hewa baadhi ya Sehemu iko hivi,Isiwe sababu ya kutokwenda kwenye Nyumba za ibada Wapendwa,Mungu awabariki sana, na Muwe na J'Pili njema yenye Baraka,Amani na Upendo. Mungu yu Mwema Maishani mwetu,wenyekuamini hivyo na Tuseme AMINA!!
Poleni na baridi huku ni kinyume chake maana bingo ni joto kwa kwenda mbele, tutawatumia kidogo kwenye barua pepe! Poleni sana, maana baridi si mchezo!
Ingelikuwa ni huku , tungesema ni kipindi cha kupanda mbegu, ...lol
Ahsanteni sana Wapendwa,yaani utabiri wa mwanadamu ni mwanadamu tuu,@Ndugu wa mimi emu wa three utakuwa umetusaidia sana@Da'Mija kaka Isaac alikuwa ananipeleka mimi karibu nae alale hukohko kwani snow ilimzidia.Da'Yasinta na da'Edna chamoto tutakiona!!
6 comments:
Waliotabiri mwaka huu hakuna snow walikosea sana..
Namuona kaka Aizaki akijishauri gia gani atumie leo kuikabili barafu..
Kila la heri wajameni..
Amen
kwa kweli mwaka huu tutakoma. Amina.
Daah hiyo hali ya hewa inatutesa wengi mweeeh

Post a Comment