Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Sunday, 12 February 2012

Nawatakia J'pili Njema yenye Baraka na Amani,pata burudani,Wanakijito-Msalaba,

Mpigieni BWANA Vigelegele,Enyi wenye haki,Kusifu kunawapasa Wanyofu wa Moyo.
Soma;Zaburi 33:1-22.Mbarikiwe sana Wapendwa!!

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

jumapili njema mdada!!

EDNA said...

Na wewe pia shemeji na watoto.

Anonymous said...

Asante jumapili njema na kwako pia pamoja na familia nzima