Hayawi hayawi sasa Yamekuwa! dada Rubango na Mumeo Hongereni sana kwa kuwa MKE na MUME!!
Mungu asimamie maisha yenu yawe yenye Baraka na Amani.
UJumbe;dada Rubango na nawatakia maisha mema yenye Furaha na Upendo wewe na Mumeo,Mungu awenanyi kila iitwapo Leo,Nawapenda sana.
Wako Neema Nyanyile
COVENTRY.
4 comments:
Pendeza sana jamani,maisha mema na yenye kujaa furaha yawafunike...
Hongereni sana na karibuni katika maisha ya Ndoa/mume na mke na Mungu ailinde NDOA YENU!!!
Karibuni kwenye kijiwe, maana maisha hukamilika pale mnapofunga ndoa, na kuwa mke na mume. Twawatakia maisha mema yenye baraka na amani
Mwenye Mungu awajalie maisha mema na yenye baraka katika ndoa yenu
Post a Comment