Siku kama ya leo familia ya Bibi na Bwana Nyembo Fundikira, walipata mtoto wa kike na wakamwita NADIA!!.Leo dada Nadia ametimiza miaka 2.''Chimami'' tunakutakia kila lililojema maishani mwako,Mungu awe nawe daima,Uwe baraka kwa Wazazi,Ndugu,Jamaa ,Marafiki na Watu wooote.
Familia ya Fundikira,Jumaa,Tuwa na Kiwinga,Tunaungana pamoja katika kukutakia kheri na kumuomba Mungu asimamie makuzi yako.
Hongera sana'' VALENTINE''NADIA.
Familia ya Fundikira,Jumaa,Tuwa na Kiwinga,Tunaungana pamoja katika kukutakia kheri na kumuomba Mungu asimamie makuzi yako.
Hongera sana'' VALENTINE''NADIA.
3 comments:
Hongera sana kwa siku yako ya kuzaliwa na naamini unapendwa na wote kwa vile ni siku uliyozaliwa:-)
asante mamamkubwa siwa kwa kuweza kunikuza mpaka kufikia leo hii na nakuombea kwa mungu nawe hakupe nguvu zaidi ili unikuze mpaka mwisho wangu wote mungu hakubariki kwa kila jambo mama yng
Hongera mwanangu umekua jamani. Mungu azidi kukulinda. Jamani Rabia watoto wako wote ni wa Februari?
Mungu awabariki.
Post a Comment