Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Saturday, 4 February 2012

Umepitia Mchezo huu? Pata na Burudani,Shingo La Upanga -Jamhuri Jazz Band

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Rechal hakika wewe kwa uchokozi nakuamini..Mimi sijapitia si unajua nlitaka kuwa sista mwenzio:-) Mziki huu kama kweli una umpendaye halafu hamuwezi kuwa pamoja inauma kweli....

Mija Shija Sayi said...

Haa! Yasinta kumbe ulitaka kuwa sista? Sasa ikawaje hebu tupe habari kidogo...teh..teh..teh!

Rachel Siwa said...

Nami nimefungua masikio kusubiri jibu,kutokana na swali la da'Mija.