Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Wednesday, 22 February 2012

Wanawake na Mitindo,Leo Uvaaji wa Miwani!!!!



Nimatumaini yangu woote wazima,Haya Waungwa vipi kuhusu Wanawake wavaapo Miwani,Nikuongeza Urembo,Kuvutia,Haiba,Kujikinga na jua au Wanaficha kitu,Wanaaibu,Wanajishaua? Na jee Wanaona vizuri kweli ?Wewe /Mkeo unapenda kuvaa/Avae Miwani na kwasababu ipi?


Karibu sana Waungwana.

4 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Ahaahaaaa leo uminiveza kweli nadhani hapo nilikuwa naona aibu...LOL au hapana nilikuwa najikinga na jua:-)

mama sharoo said...

Wamependedhaa hao,kwikwikwi lol mi naona zote ni sababu tosha wanavaa za kuvAa miwani,tehe

Simon Kitururu said...

Miwani poa!Ila kwa ujumla WADADA mnapendeza tu kikawaida na kwakuwa najua si kila mahali mnavaa miwani!

Ila jicho linautamu wake kama mdada anajua kulitumia katika kupandisha mizuka wakaka na sio kwa kurembua tu!

Rachel Siwa said...

Hahahaa kaka Kitururu je ungependa mpethi oopss Mchumba/mtarajiwa wako avae?

da'Yasinta na mama Sharooo tehtehteheh mmeniambukiza kicheko,Pamoja waungwana!