Haya wapendwa waswahili na Maisha yao,Makhanjumati/Vyakula kwa wingi,Burudani, watu na furaha.ilikuwa siku ya Wapendanao,Wao waliamua kupendana kihivyo,Hayo yote ni Mapenzi,Umoja,Kufurahi ,Kushirikiana na Wengine!.Ukitakata kujua zaidi ingi. http://swahilivilla.blogspot.com
3 comments:
kujumuika pamoja inafurahisha sana ni kukomaza uswahili wetu na ukawezwa kuigwa na pande zingine
inapendeza na kufurahisha!
Mmmmh!
Post a Comment