Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Saturday, 17 March 2012

Chaguo la Mswahili Leo-Congo - Pepe Kalle!!!!!!!

Nawatakieni J'mosi njema!Kumbuka Enzi zako, hahah wapi dada Mwasu KLM, my Wifi Neema Nyanyile, Mama Kisa na da' Nana Msilie wapendwa wangu,Enzi hairudi ikipita imepita, kumbukumbu ipo lakini..Waungwana nini Mnakumbuka kukisiliza nyimbo hizi?.Twende sote sasa Anakala Manzeeeeee!!!!!!!!.Pamoja sana.

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Hapa patumu mno ..jumamosi njema nawe pia ila usicheze sana utapata maumivu maana mwenzio hapa nipo hoi ...

sam mbogo said...

Bisikuti yangu,chemwali Rachel, huyu jamaa pepe ni chaguo langu nyimbo zake nazi husudu sana,. hivi nimekuwa najaribu bila mafanikio kusema chochote kwenye hii blog yako lakini maranyingi ujumbe hauji sijuwi nimimi nakosea mahali. umekuwa ukiweka vitu vizuri kila nikichangia nakutuma inakuwa shida.ngoja leo nijaribu tena. kaka s.

Rachel Siwa said...

hahahahh dada Yasinta pole!@Bisikuti yangu,Che Bwana Sam,Pepe kale Murembo sana!!!!karibu tena kaka wa mimi Mwana wa Mbogo, nafikiri ulikuwa unakosea kidogo.