(Lifestyle)Jamii,Tamaduni ,Matukio,Maisha ya Waswahili. Wapendao Kiswahili/Waswahili,Marafiki wa Swahili na Waswahili, Na Mengineyo ya Karibu, Yahitajikayo Kujuzwa Waswahili.Karibuni sana!!!!!!!
Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!
Haya Waungwana pata Burudani Muruwaaaaa!!!!!Mambo ya Zenji au?? Ngoma ya Kidumbaku,, na Kingine ni Ahmada Umelewaa, sijui hii ni chakacha au Taarabu, Jibu utalipa ukisikiliza, na unaweza kutujuza nasie!!!Karibuni sana. Waungwana kila J'Mosi kuna chaguo la Mswahili,si mimi Pekeyangu nawe kama unataka Kuchagua Mziki,Ngoma na......Ruksa nitumie Email, rasca@hotmail.co.uk Swahili na Waswahili Waungwana au Vipi?Twende Sote sasa!!!!!
No comments:
Post a Comment