Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Saturday, 24 March 2012

Chaguo la Mswahili Leo-Twanga Pepeta - Mtu Pesa na nyingine nyingi!!!

Papaa Sunday, Yeye ndiyo aliyenianzishia wana Twangwa leo, Ahsante kaka yangu, Duhh Pia nimekumbuka Mengi sana Ndugu yangu. Papaa Huyu tumecheza nae sana Mpira wa Makaratasi,Makonzi , Hahahahhaaha Enzi za Masonge muuza Mihogo,Mzee wasiwasi ooohhiiii. Tumetoka mbali sanaaaaa!!Hili nitalikumbushia siku nyingine, Pata Burudani na Nawatakia J'mosi Njeeeeeemaaa!!!Mimi nawapenda Wooote Waungwana. Twende Sote sasa.Twanga pepeta Inapendaga Watu Woteeee ehhhh ohhhhh Ehhhheee!!!!!!!

1 comment:

Goodman Manyanya Phiri said...

Sawa kabisa, Twanga Pepeta "Shaka Zulu", numekupata. Wacha nitumie nami video yako katika moja ya posti zangu... ha! ha! haaa! CHUNGA SANA LAKINI, USIJE UKAPEPETWA WEWE MWENYEWE SIKU MOJA, HEEE!

http://goodmanmanyanyaphiri.blogspot.com/2011/04/how-bobelo-zini-prostituted-herself-for.html