Poziii
Mpirani
Shughulika baba!!!!
Vituko
Mapenzi kwa mama.
Hongera sana kaka Faridi kwa kutimiza miaka 14,Mungu akubariki na kukulinda wakati wote.
Uwe baraka kwa wazazi na watu wote.
Hongera pia Wazazi na Mungu awape Maarifa, Usimamizi na Mema Yote kwenye Malezi.
Waungwana; Eti watoto Wengi wa Kiume ni rafiki/wapo karibu sana na MAMA kuliko BABA?
Pamoja Wapendwa!!

6 comments:
Hongera sana kwa kutimiza miaka na nakutakia kila la kheri kwa kila jambo utakalofanya..Hongera wazazi pia. Rachel inasemekana hivyo lakini sina uhakika..mie nipo karibu na wote.
Ahsante da'Yasinta kwa niaba,da' Yasinta jee shemeji yupo karibu na nani?
Nadhani yupo karibu na wote au ngoja nitakuwa macho kuchunguza
Hongera Farid!
nimechelewa sana kwenye hii mada ila ngoja tu nichangie,yaani bila kupinga mtoto wa kiume na mama jamani mimi ninamifano mingi hai yaani mimi na kaka yangu huu mfano mmoja tu mpaka kesho yaani kwa mama mpaka basi ila na mie na baba yangu ujina mgonjwa na wapenda wote ila baba jamani
Asanteni kwa niaba yake,Anonymous; hujachelewa bwana! asante kwa kutushirikisha na karibu sana.
Post a Comment