Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Sunday, 25 March 2012

Nawatakia J'Pili Njema Woote!!Burudani-AIC Chang'ombe Vijana Choir - Hakuna

Nawatakiaeni J'pili njema yenye kheri,Baraka,Upendo na Utu wema.
Neno la Leo;Zaburi ya 121:1-8.Nitayainua Macho yangu niitazame Milima,Msaada wangu Utatoka Wapi?Endelea.
Nijambo Gani linalomshinda MUNGU BABA?.

3 comments:

Goodman Manyanya Phiri said...

Sijui kwanini video hii yanigomea.

Hata hivyo, Asante sana "Mwana-kwitu"

Nawe, pia, J'pili NJEMA KABISA!!!

Yasinta Ngonyani said...

Jumapili njema pia jioni njema kwako pia na famailia..au tusema kwa yeyete atakayesoma hapa.

EDNA said...

Mimi nakutakia jumatatu njema mwanakwetu.