Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Sunday, 11 March 2012

Nawatakia j'Pili Njema Wapendwa,Burudani,Rose Muhando-Tamalaki''Na nyingine Mpya!!



Mzee,kwa Gayo mpenzi,nimpendaye katika kweli.2Mpenzi naomba ufanikiwe katika mambo yote na kuwa na afya yako kama vile roho yako ifanikiwavyo.Neno linapatikana;WARAKA WA TATU WA  YOHANA:soma 1-13.15;Amani kwako,Rafiki zetu wakusalimu.Wasalimu hao rafiki zetu,kila mtu kwa jina lake.Mbarikiwe sana!!!mimi nabarikiwa sana na nyimbo nyingi kupitia hapa kwa Kaka yangu Matondo.http://nyimbozadini.blogspot.com/

6 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante kwa neno la leo na pia nyimbo mpya za dada Rose..nawe na familia muwe na j2 njema sana.

Rachel Siwa said...

Ameen, dada Yasinta, Mungu awenanyi pia!

@kaka yangu Matondo,Ameeeeeeen, hujui kaka yangu unavyonibariki,Mungu azidi kukufunulia zaidi, nilipita pale kwako jana nikasikiliza Tamalaki na nyingine, ndipo nikavutiwa nami kuweka hapa,Nafarijika sana kupitia www.Nyimbozadini.blogspot.com.
Ahsante sana Mungu atubariki sote kaka.

emuthree said...

Sijachelewa na wewe pia na Jumatau njema ya mvua hapa Dar

Goodman Manyanya Phiri said...

Tamara asema asante kwa picha nzuri katika posti hii.

Asema zaidi: nawe Shangazi picha yako mpya (background) yavutia sana, eti "mnashindana vizuri kama dogodogo mtu nawe shangazi yake mtu!!! Kazi kwako sasa!


Mtembelee zaidi alipojifunza kutembea mwezi Disemba 2011 http://ninaewapenda.blogspot.com/2012/03/made-in-azaniasouth-africa-new.html

Rachel Siwa said...

Hujachelewa ndugu wa mimi@emu wa-3,asante sana,Duuh poleni sana na Mvua kwani dar mvua ikinyesha mmmhhh.

Kaka yangu Matanje asante sana,hahahaha wambie shangazi Tamara naye anapendeza sana!nitamtembelea nione anavyotembea mwanangu.

Rachel Siwa said...

Hujachelewa ndugu wa mimi@emu wa-3,asante sana,Duuh poleni sana na Mvua kwani dar mvua ikinyesha mmmhhh.

Kaka yangu Matanje asante sana,hahahaha wambie shangazi Tamara naye anapendeza sana!nitamtembelea nione anavyotembea mwanangu.