Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Monday, 12 March 2012

Waswahili na Maisha yao Leo tupo Kenya-Mwai & Beth's Wedding !!!!!!

4 comments:

emuthree said...

Huwa najiulizaga kwanini ngoma na michezo yetu watu wakicheza mpaka wainame, angalau kidogo ,ndio mnogo unakolea au nini.....?

Yasinta Ngonyani said...

emu3! Inawezekana hapo ndo mnogo unakolea..ila mimi huwa najiuliza kwanini sisi waafrika ni wepesi sana kucheza ngoma au Mziki?

Rachel Siwa said...

Teheheheheheheehhhhh yaani Ndugu wa mimi nyie, mmenichekesha kwa maswali yenu pia mmenigusa, yaani kama Mmewaza kwa sauti kama kaka Bandio asemavyo, Duhh nami nasubiri wenye kufahamu zaidi!!!!

ray njau said...

Utamu wa ngoma uingie na ucheze.Maswali hapa ni mengi lakini wenye maswali yao ni majibu yao wanayo kwa wao nao ni wadau katika utamaduni wa mwafrika.