Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Wednesday, 21 March 2012

Waswahili na Maisha Yao - Zanzibar na Mwaka Kogwa Festiva-Burudani Marashi ya Pemba!!


Waungwana Waswahili wa Zenji wanamambo yao,Unajua kuhusu Mwaka Kogwa?Sijui ni Matambiko,Michezo,Sherehe au?Jee mpenzi msomaji Umeshawahi kukutana,Kuona,Kushiriki Mwaka Kogwa?Hivi wanavyotandikana, Kama kunamtu unasababu nae si ndiyo Utamtandika Kwa hasira?Jee Mwaka Kogwa wanaruhusu kushiriki mtu yeyote au mpaka uwe Mzaliwa wa huko?
Karibuni sana Waungwa!!

4 comments:

Goodman Manyanya Phiri said...

Wewe waache watandikane tu. Nitakuja kuwaona baada ya mmoja waokuiishiwa na damu au hata kuuliwa (maana yake YouTube najaribu kufungua ili niwape upatanisho lakini mashine yangu inagoma). Asante sana kwa kutuelimisha juu ya Mwafrika Da'Yangu!

Simon Kitururu said...

Tukiacha mengine:


Marashi ya Pemba! DUH! Sijawahi fika pemba yani!:-(

PS:
Naendelea kusononeka na nuliyoyaposti DADA RACHEL!

Rachel Siwa said...

Kaka Manyanya hahahaah You Tube imekugomea kwasababu unataka kuharibu burudani!

Kaka wa mimi Kitururu fanya uende tuu Pemba yakhee,Pole kwa kusononeka kaka yangu hahahahahahaa nimekupata mzee wa CHUCHU!!!!!

Market Research said...

I like the valuable info you provide in your articles. I will bookmark your blog and check again here regularly. I’m quite sure I will learn many new stuff right here! Best of luck for the next!

Thank You
RNB Research