(Lifestyle)Jamii,Tamaduni ,Matukio,Maisha ya Waswahili. Wapendao Kiswahili/Waswahili,Marafiki wa Swahili na Waswahili, Na Mengineyo ya Karibu, Yahitajikayo Kujuzwa Waswahili.Karibuni sana!!!!!!!
Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!
lucy; pole sana mama kwa yale yote yaliyokupata kwa kuondokewa na mtoto wako wa pekee ww ulimpenda lkn mungu amempenda zaidi tumuombee mungu ampokee mwanae kwny mikono yake.poleni watanzania na ndugu kwa ujumla. R.I.P KANUMBA.
3 comments:
Pole mama na baba, Poleni ndugu, Poleni wasanii, watanzania na washabiki wote wa Kanumba kwa ujumla.
R.I.P Kanumba.
Pole sana mama Mwenyezi Mungu akutia nguvu kwa kipindi hiki kigumu. Pole wanafamilia wote na pia Tanzania kwa ujumla.
lucy;
pole sana mama kwa yale yote yaliyokupata kwa kuondokewa na mtoto wako wa pekee ww ulimpenda lkn mungu amempenda zaidi tumuombee mungu ampokee mwanae kwny mikono yake.poleni watanzania na ndugu kwa ujumla.
R.I.P KANUMBA.
Post a Comment