Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Monday, 7 May 2012

Jikoni Leo;Mswahili,da'Miriam Rose Kinunda,Pishi-Green Bananas na Mengine meengi ya kujifunza!!!


Da'Miriam Rose
imi huwa navutiwa mnoo na kazi zake dada huyu.Huwa sisiti kumuuliza pale nitakapo kujua zaidi.Sijapata nafasi ya k
HayaWaungwana leo nimewaletea da'Mriam Rose wa Kinunda.


Mukutana nae,Lakini kwa mawasiliano tuu kwangu ni mtu asiye na Majivuno,dharau,Umimi/Ubinafsi.Ni dada Mcheshi na mwenye Upendo, na meeengi.


Hongera sana na Ahsante sana da'Miriam Rose kwa yooote,Mungu azidi kukubariki.


Kufahamu zaidi kazi zake na yeye ni nani ingia "Taste of Tanzania"   http://www.tasteoftanzania.com

5 comments:

Mija Shija Sayi said...

Da' Miriam ulipotelea wapi dada? Nimefurahi sana kuona kazi zako LIVE, Hongera sana, Da' Rachel umefanya kazi nzuri sana kuturudishia mdada wetu tena..

Mbarikiwe sana.

Miriam Rose Kinunda said...

Kwanza asante sana Rachel kwa support hii ni kubwa sana sana yaani. Shukrani mingi mingi sana, hata sijui la kusema.

Ndugu yangu Mija yaani ni miaka mingi kweli sasa. Nipo, ntakutafuta, tuwasiliane. Nilipotea kidogo kwa sababu ya familia, nikarudi na jina jipya naona hapo ndo nikawapoteza dada na kaka zangu tuliokua tunashirikiana zamani. Asante sana sana kwa baraka zako, nawe ubarikiwe sana. Tuwasiliane.

Anonymous said...

HONGERA SANA MIRIAM KWA KAZI NZURI YA MIKONO YAKO NAPENDA SANA KUONA MAENDELAO KAMA HAYA KWA WATANZANIA. PIA ASANTE SANA DADAKE YAANI WANGU UMENIFURAHISHA SANA LEO MAANA NIMEJIKUTA NATUMIA MUDA MREFU SANA HAPA MAANA WENGINE HUU NDIO UGONJWA WETU NIMEPATA NA KAWAZO KAZURI JUU YA HILI NITAKUTAFUTA,M BARIKIWE SANA WAPENDWA

Anonymous said...

Ndugu wa mimi unaniongezea njaa...mmh, shukurani

Rachel Siwa said...

Ameen da'Mjia na Asante sana,pia Hongera nawe kwa kumpata da'Rose,Nategemea Meeengi kutoka kwenu dada zangu.

@Da'Miriam Tumshuru sana Mungu aliyetupa pumzi,Pia asante nawe sana sana Love mingi mimgiiii.

Anonymous [dadake]Nami nafarijika kusikia umefurahi,hii kazi yako usiipige teke,Najua da'Miriam amekuamsha eehh.

@Ndugu wa mimi m.m. Msuya poyeee usicheze mbali dada atakuita uonje.
Pamoja sana sana Ndungu wa mimi.