Mchague
JOSEPH LUKAZA ili aweze kuibuka mshindi katika shindano la EXCEL WITH
GRAND MALT katika chuo kikuu cha Dodoma katika Category ya Innovation
Nominee
Jinsi ya kushiriki kwa njia ya kutuma ujumbe mfupi wa simu unaandika
"INV UDOM JOSEPH LUKAZA 3rd year" alafu unatuma kwenda namba 0653202000.
Na unaweza kupiga kura kwa kutumia tovuti
2 comments:
Haya ndugu wa mimi, Tupo pamoja, nashukuru sana kwa kuwajali wenzako, wewe ni mtu wa watu, au sio, Twipo pamoja
Ahsante sana ndugu wa mimi,Waswahili wanasema urafiki wa kweli upo moyoni na si Usoni tuu.Pamoja daima ndugu wa mimi!!!!
Post a Comment