Hii ni yenu.....!! ni video yangu ya kwanza kama sam machozi nigependa
sana saport zenu wa TZ ili niweze kuipeleka bendera yetu mbele
kimataifa zaidi tuamini kama tunaweza na tutaweza mungu yupo na sisi
milele amine... ni sam machozi`TO ALL MY BEAUTIFUL PEOPLE...!
Hayo ni Maneno yake kaka Sam Machozi.
Pamoja sana Waungwana!!! Swahili na Waswahili.
Hayo ni Maneno yake kaka Sam Machozi.
Pamoja sana Waungwana!!! Swahili na Waswahili.
2 comments:
Nyeh Muke ya Mubena ukuje utoe maeleso ndauli beh unaficha ficha mambo huku kimya kimya?
Kila siku nikigonga Rachel siwa Isaac inapeleka kwa google plus. Leo hii hata sijui nimefika fikaje hapa, inabidi unipe zawadi ya kisado cha ulanzi.
Hiyo picha ya huyo mrembo aliyefunga kilemba pale juu kabisa inafanna na picha ya Kachiki Muke ya Mubena aliyevaa Addidas, ingawa mwenye kilemba anaonekana ni ndiyo mdogo. Ukimuona msalimie sana, mwambie alipendeza sana kwenye hiyo picha.
Behh Mtani,Karibu sana umezungukaa wee nyehh hongera sana hatimaye umefika.Ulanzi hapa umepata unapendelea Mtongwa au Mkangafu? ka nyama jee? usiogope kale kanyama behh.
Hahahahhaa huyu ni pacha wa Kachiki Muke ya Mubena. nitamfikishia ujumbe@ Mtani nimefurahi sana kukuona hapa. Karibu sana sana.
Post a Comment