Da'Rehema na Mwanawe Chance |
Wifi'Rehema na Mwanawe Farid.
Kila lenye Kheri,Baraka,Upendo,Uvumilivu,Utuwema,Umoja,Huruma na REHEMA!!!
Wengine tulisha Sheherekea, lakini si Mbaya tukiungana Nanyi tena.
Leo da'REHEMA na wifi REHEMA ndiyo wanaotuwakilisha SWAHILI na WASWAHILI.katika Siku ya MAMA.
3;REHEMA na kweli zisifarakane nawe.6;Katika njia zako zote mkiri yeye,Naye atakuonyesha MAPITO yako.
Neno la Leo;Mithali:3;1-7
2 comments:
hakuna kama mama. Akina mama oyeeeeeeeeeeeeeeee!! Hongera kwa siku ya akina mama bila kujisahau mimi mwenyewe na wewe mama utayepita hapa :-) Sisi hapa hiyo siku bado mwishoni mwishoni mwa mwezi huu.
Nilikuwa sijapita hapa tupo pamoja ndugu wa mimi
Post a Comment