(Lifestyle)Jamii,Tamaduni ,Matukio,Maisha ya Waswahili. Wapendao Kiswahili/Waswahili,Marafiki wa Swahili na Waswahili, Na Mengineyo ya Karibu, Yahitajikayo Kujuzwa Waswahili.Karibuni sana!!!!!!!
Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!
Nawatakia J'Pili yenye Baraka, Upendo,Amani, Umoja na Furaha. 1;Haleluya.Msifuni Mungu katika Patakatifu pake; Msifuni katika anga la uweza wake. Neno la Leo:Zaburi ya 150:1-6. 6;Kila mwenye Pumzi na Amsifu BWANA. Haleluya!!!!!!!!!.
3 comments:
Na kwako pia jumapili iwe jema na yenye baraka na furaha tele..Nimependa nguo za hao watoto safi sana zinapendeza mtindo/mshono mzuri.
Jumapili njema kwako pia Dada wa MIMI!
Pamoja Wapendwa!!!
Post a Comment