Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Sunday, 6 May 2012

Nawatakia J'Pili Njema,Burudani- Pote Atawala,Unibariki,Umechoka!!!!!!

9:Nami nawaambia,Ombeni nanyi mtapewa;Tafuteni,nanyi mtaona;Bisheni,nanyi Matafunguliwa.

13:Basi,ikiwa ninyi mlio waovu mnajua kuwapa watoto wenu vipawa vyema,Je! Baba aliye mbinguni hatazidi sana kuwapa Roho Mtakatifu hao Wambombao?


Neno la Leo:Luka Mtakatifu;11:1-13.
Mbarikiwe sana na muwe na wakati mwema.

3 comments:

Anonymous said...

Asante sana mpendwa nimebarikiwa sana leo na hizi nyimbo,nami nakutakia jumapili njema wewe na familia yako m barikiwe sana

Yasinta Ngonyani said...

Jumapili njema kwako pia mdada na familia pia kwa kila atayepita hapa abarikiwe. Winome wiyangasule...nimesheza hapa mpaka basi...

emuthree said...

Tupo pamoja ndugu wa mimi ujumbe murua, natumai sijachelewa....!