Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Tuesday, 29 May 2012

Wa Afrika na Sherehe zao;Leo ni Wadigo wedding , Kenya!!!!!!

Hahhahahhah Kadala,Mwanamke wa shoka, Mwanakwetu,Kadoda,Ndugu wa mimi na Waungwana Woooote,
Mambo hayo ya kupetipeti!!
Sina lazaidi Mengi Mnayo Wenyewe Yakheeeeee!!!!


Karibuni sana. "Swahili na Waswahili".Pamoja sana tuu.

3 comments:

emuthree said...

Ndugu wa mimi RAHA SI RAHA ? Basi hivyo ndivyo inatakiwa maisha yenu yote, na mkiwa wenyewe iwe zaidi maana hapo mnafanya kwa aibu...lakini wapi, mkishazoeana,hata ukihitaji maji unaonyeshewa kwamguu,'haya hapo...'Barakazandoa hupotea.
NDOA NI RAHA,MNAOANA ILI MPATE RAHA YA MAISHA SIO IWE NIKARAHA

Yasinta Ngonyani said...

Wewe kachiki wewe yaani leo ndi umemaliza kweli:-) mimi kutamani kwelikweli hapa...Lol

Rachel Siwa said...

Hahahaah Ndugu wa Rahaaaaaaa!!!Swadakta!!

@da'Kadoda hahaahahhaaah umeona mabo dada yangu hayo?

Pamoja sana Ndugu zangu.