(Lifestyle)Jamii,Tamaduni ,Matukio,Maisha ya Waswahili. Wapendao Kiswahili/Waswahili,Marafiki wa Swahili na Waswahili, Na Mengineyo ya Karibu, Yahitajikayo Kujuzwa Waswahili.Karibuni sana!!!!!!!
Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!
Swali; Jee WaTanzania tunaweza kuvaa nini kwenye Ndoa,Siku ya Posa,Siku ya kuagwa, K/party au Sherehe yoyote inayotakiwa Kuonyesha Utanzania Wetu?
Nimeshaona wengi wakivaa kimasi, Jee Vazi hili linaweza kututambulisha? Waungwana karibuni sana katika Kuelimishana,Kushauriana na Mapenzi yako katika Vazi la Nyumbani. Pamoja sana .Swahili na Waswahli!!!!!
2 comments:
Ndugu wa mimi shukurani kwa kutuonyesha viti hivi adimu. Tupo pamoja
Pamoja ndugu wa mimi!!!!!
Post a Comment